Kanuni Za Ndoa Na Maadili Ya Familia

 Kanuni Za Ndoa Na Maadili Ya Familia

Katika kitabu hiki mwandishi amefanya jitihada kubwa kufanya utafiti na uchunguzi wa kina wa somo la mfumo wa maadili ya familia na uhusiano wa mume na mke, kwa mtazamo wa kiislamu. Kitabu hiki kitafaa sana katika jamii yetu hii ambayo imemomonyoka mno kimaadili kwa kuiga tamaduni za kimagharibi ambazo zimewapotosha wengi katika vijana wetu. Na ingawa kimeandikwa kwa mtazamo wa kiislamu, lakini ni kitabu ambacho kitawafaa sana hata wasio waislamu, kwani kinazungumzia maisha ya ndoakwa ujumla.

Kanuni Za Ndoa Na Maadili Ya Familia

آئین همسرداری


Author(s):

Hujjatul-Islam Ibrahim Amini

Translator(s):

 Al-Akhy Salman Shou